Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hayo unayoyasema we mzee ndio siyafanyi kabisaa ushidweee [emoji16]Hata ukiokoka kuna yale huwezi acha kufanya[emoji16]
Nimechekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] ntongozwe upya sio
Analyse uje utupunguzie machungu ya kuachwa[emoji20][emoji20] wasimuliaji wote naona mmegoma kuendelea ntaponea wapi[emoji20][emoji20]
Cuzo kulikoni? [emoji23][emoji23][emoji23]Tena hayo unayoyasema we mzee ndio siyafanyi kabisaa ushidweee [emoji16]
Pole kwa upweke https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2081721/ enjoy na hiyo single lady[emoji23][emoji23]Analyse uje utupunguzie machungu ya kuachwa[emoji20][emoji20] wasimuliaji wote naona mmegoma kuendelea ntaponea wapi[emoji20][emoji20]
Usitukane kaa humu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2081721/ na uenjoyNaandika nafuta....naandika nafuta ...nisije nikatukana buree[emoji125][emoji125]
Kapatwa na nini huyu kamanda?
Unakwama wapi mwamba
Ongeza siku za kuishi mama😂😂😂Nimechekaaaa
Asante dear😘Hadithi: Madam President
Mtunzi ni CK Allan Madam President Juni 1998 Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob tulikua mwisho kabisa ya mstari kuingia kwenye Basi la shule tayari kwenda Tanga mjini ambapo...www.jamiiforums.com
Njoo upunguze arosto huku
Mbona unanifanyia vayolensi dear😕😘Pole kwa upweke https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2081721/ enjoy na hiyo single lady[emoji23][emoji23]
Ni swala la mda tu, tena utarudi kwa speed ya mbwa koko😃😃. Niko shamba huku utaniita😀Tena hayo unayoyasema we mzee ndio siyafanyi kabisaa ushidweee [emoji16]
Hakuna namna kipenzi kununa tunazidi kujizeekea harakaa hapa tulipo wazeeOngeza siku za kuishi mama[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] mimi huyuuuu hapana we mzee ebu niacheeNi swala la mda tu, tena utarudi kwa speed ya mbwa koko[emoji2][emoji2]. Niko shamba huku utaniita[emoji3]
Ubinadamu kaziNi ngumu uchangiwe na watu wanne watu halafu watu waangalie tu halafu ubebwe uwekwe kwenye gari wanakuangalia tu unaondoka tena na hayo maeneo nimeambiwa na mwananchi mmoja kuna polisi na walinzi karibu. Uwe makini dogo usipoteze umakini please. Utanikwaza