Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

[emoji23]
Duh! mixer pombe, vp huyo hakuzingua kama yule wa Ochu?
 
Huyo Mzee wa kichagga ananikumbusha February 2002 nikiwa f.6 nilipewa SPA siku tunarudi na wazazi mi nlienda na maza, kuna dent alimkodi jamaa pale Arusha mjini kama ndio kaka yake, kufika shule jamaa alintembezea kipondo cha maana, sasa baada ya maonyo ya wazazi na walimu tukaruhusiwa kuwasindikiza wazazi stendi, kufika njiani jamaa si wakazikunja!?

Mi na maza tunashangaa kuuliza dent anasema yule jamaa hata sio ndugu yake kamkodi tu. 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…