Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

We jamaa story yako ina chekesha Sana inaonekana ulikuwaga kiboko
Hata mimi nimecheka sana kwenye baadhi ya scenario. Kuna ile sehemu mchaga kapigwa roba na mzee [emoji23][emoji23][emoji23]

Na pale mama alipozima baada ya kuhisi mwamba kaenda tambulisha jimama. Sema nini Analyse anajua kusimulia mpangilio safi comedy kiasi chake kifupi story iko vyedi
 
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom