Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Umewahi kumuona au kumsikia akiongea Kiswahili na wageni? Jibu la hili swali litatusaidia kupima validity ya mshangao wako!
 
Atakuwa ni miongoni mwa viongozi wasiojua kuongea kiingereza vema. Aongee tu hata cha kubabaisha, kiingereza cha matege wanakiita english vapour
 
Tulishaambiwaga kuwa njia ya kumshambulia mjinga mojawapo ni kuharibu mfumo wa kielimu tu , hili jambo halikuanzia hapa
 
Leteni anayoongea kingereza, hapa kaongea lugha inayofanana na kingereza. I taken...ok ok ndio lugha gani.
Mwambie mama yako alete yake kwanza ndiyo makobda baye alete yake,mijitu mingine sijui vp yaani,mmeona kingereza ndiyo ukombozi kwenu??
 
Kiibgereza ndio lugha gani mzee?

My best language ni arabic, kiarabu ni kitamu sana asikuambie mtu, anae nuna anune wala hanipunguzii kitu

Arabic and swahili languages 💪💪

Kiingereza ❌
 
Bwana tulikubaliana tuwe tunataniana tu sio kuanza kuambiana ukweli
 
Speaking English without substance within it is nothing more than making noises in prohibited areas, let us focus on content of his speeches rather than medium of communication.
 
Mwambie mama yako alete yake kwanza ndiyo makobda baye alete yake,mijitu mingine sijui vp yaani,mmeona kingereza ndiyo ukombozi kwenu??
Mama yangu aliishia la 7. Makonda amesoma mpaka chuo akitumia kingereza. Nakupa heko imeng'amua kwangu hatoshi kabisa ukakimbilia kwa mama yangu.
#Lete clip Bashite akiongea kingereza, achana tu clip twa Yes ok No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…