Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

images (47).jpeg
images (48).jpeg
 
Kama wana mbususu why wasipate mimba na sheria ya maumbile ya asili ipo palepale haijali uaskari? Kuna mmoja alifunga ndoa na askari mwenzake japo majeshi tofauti. Nimewahi kuona askari wa kampuni analinda ATM huku akiwa mjamzito kavaa tineti/dera.
Wale wa makampuni sio Askari Ni walinzi.
Hapa tunamaanisha polisi trafik Yuko barabarani anaongoza magari huku amevaa teneti.
 
Asikari wa kike hubeba mimba kama wanawake wengine.

Akiwa mjamzito hatavaa sare, na hupunguziwa majukumu mazito kama ya usalama barabarani na doria.

Hukaa kaunta kufanya vikazi vya kawaida vya kalamu na kufungulia mahabusu au kuwafungia.

Mimba ikiwa kubwa au wakijifungua hupewa maternity leave!


Tatizo Hawa viumbe wanasheria za kuzaa, lakn pia wakizaa wawili hawataki kuzaa tena na hata kuwazalisha Hawa viumbe hawapo.

Onyo: usitongoze na kuoa asikari. Hawafai Kwa ndoa
 
Back
Top Bottom