Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba?

Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
Huwezi kumjua maana anapobeba mimba havai gwanda anavaa kawaida gauni hadi anajifungua, sa utajuaje huyu ni mjeda kwa mtaani? Labda uende vituoni wapo wengi tu
 
Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba?

Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
Hahahah... dah kweli aisee.. au huwa wanapewa maternity leave kuanzia ujauzito ukiwa na wiki moja?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom