Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

Kwamba wewe ndie muumbaji wa hao Askari wa Kike? Au ndio ulikabidhiwa operational menu yao?
 
Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba?

Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
Askari wengi wa kike wanaolewa na askari wenzao wa kiume, je unataka kusema ni potents?
 
Ukianza kazi unakaa 3yrs bila kuolewa or kubeba mimba otherwise unafukuzwa huu ni mkataba kabisa,ndani ya miaka hio unapigishwa kozi za kitosha,
But ukiolewa ndio masharti mengi ya kizaa km alivyosema mmojawapo wanakupatia kazi nyepesi and hutaweza mjua maybe umfahamu kwakua kl kitu kwao nidhamu ni namba 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…