Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

Wanatngza Ila hawapitii psrs
Huwa wanatangaza za nursing, fundi umeme, garage, yaani zile mbaya mbaya tu. Zile nzr utaskia Jesca Magufuli -Financial Controller, Francis Lowassa -Operations Officer, ohhh Fredrick Ombeni Sefue- HR, Mariam Makinda- Public Relations Officer, Zuwena Mwinyi, Deputy Gavana. Yaani watoto wa wakubwa wako BoT sijui interview huwa wana fanyia wapi? Akati sijawahi kuona wameitwa interview. Ndio maana uchumi wa Tz uko mwendo wa kombe since 1960s.
 
Huko kuna sukari
 
Bila kusahau MNH sijawahi kusikia tangazo lao kabisa
 

Sometimes ingia hata google, utapata majibu badala ya kuandika yale unayoyafikiria
 
Wakitangaza huwa ni moja au mbili za kuzugia tu.
 
Kula mtori kwanza nyama ziko chini,
 
Haoo NSSF na TCRA ndio sijawah ona karibia miaka 10 hao wengine mbona saba tu UTUMISHI
 
Wewe ndo uyo snitch sio
 
Haoo NSSF na TCRA ndio sijawah ona karibia miaka 10 hao wengine mbona saba tu UTUMISHI
TCRA
Haoo NSSF na TCRA ndio sijawah ona karibia miaka 10 hao wengine mbona saba tu UTUMISHI
TCRA huwa wanatoaga ajira kupitia utumishi mkuu hata mm nilishawahi kuziona nafasi walizo toa wakati ule lakini shuhuli ipo kwa hao "NSSF" kwakweli sijui wanatumia utaratibu gani wa kuajiri watu.
 
Siku hizi kunakuwaga na nafasi za kuhamia kwenye hizi taasisi hasa kwa wafanyakazi wa halmshauri.

Ndio maana ajira mpya huwa wanawachukua wachache sana.

Nawapata watu wengi sana walikuwa huko halmshauri wakahamia taasisi.

Wakati wengine nafasi hutangazwa na wakati wengine ni kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…