Mr njaa
Senior Member
- Feb 3, 2022
- 166
- 126
Wanatngza Ila hawapitii psrsBoT je Nani ameshawahi ona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatngza Ila hawapitii psrsBoT je Nani ameshawahi ona
Huwa wanatangaza za nursing, fundi umeme, garage, yaani zile mbaya mbaya tu. Zile nzr utaskia Jesca Magufuli -Financial Controller, Francis Lowassa -Operations Officer, ohhh Fredrick Ombeni Sefue- HR, Mariam Makinda- Public Relations Officer, Zuwena Mwinyi, Deputy Gavana. Yaani watoto wa wakubwa wako BoT sijui interview huwa wana fanyia wapi? Akati sijawahi kuona wameitwa interview. Ndio maana uchumi wa Tz uko mwendo wa kombe since 1960s.Wanatngza Ila hawapitii psrs
Huko kuna sukariHivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION
10. TFDA
mabumbe.com
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION
10. TFDA
Mu0ngo wwBila kusahau MNH sijawahi kusikia tangazo lao kabisa
Wakitangaza huwa ni moja au mbili za kuzugia tu.Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION
10. TFDA
Kula mtori kwanza nyama ziko chini,Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION
10. TFDA
BoT je Nani ameshawahi ona
Wewe ndo uyo snitch sioHawanaga sare hawajitambulishi ila nature ya mazingira nayofanyia kazi watumishi wenzangu wamechomwa saana na hawa watu
Dereva story zake 80% lazima sihusiane na mazingira ya kazi yake alkadhalika mwalimu na wanafunzi wake so usishangae ndugu ni kawaida
TCRAHaoo NSSF na TCRA ndio sijawah ona karibia miaka 10 hao wengine mbona saba tu UTUMISHI
TCRA huwa wanatoaga ajira kupitia utumishi mkuu hata mm nilishawahi kuziona nafasi walizo toa wakati ule lakini shuhuli ipo kwa hao "NSSF" kwakweli sijui wanatumia utaratibu gani wa kuajiri watu.Haoo NSSF na TCRA ndio sijawah ona karibia miaka 10 hao wengine mbona saba tu UTUMISHI
Huko kuna utata mkubwa juu utaoji wa ajira zao wanajua wenyewe naona mkuu.Na NFS je?
MSD wametangaza kazi za wakuu wa Idara juzi tu hapa.MSD na TCRA mbona wanatangazaga Japo mara chache sana, nakumbuka nliwahi kuomba kazi huko.
Walishatangaza mwezi wa 6, bado hawajaita interviewBila kusahau MNH sijawahi kusikia tangazo lao kabisa
Tembelea portalBila kusahau MNH sijawahi kusikia tangazo lao kabisa
Wanatangaza sana tuBoT je Nani ameshawahi ona