Butwaa
Senior Member
- Aug 13, 2022
- 125
- 148
Niliwahi kufanya km ulivyosema nikapeleka barua nikampa mlinzi getini, siku zikasogea siitwi ila boss wa ofisi nilikua namfahamu ni Rafiki na brother yangu waliwahi kusoma pamoja miaka yao basi brother akapiga simu dogo ameleta barua hapo ila hajaitwa bwana wee nikaambiwa kesho njoo ofisini tuhakiki km kweli ulileta barua, kesho yake nikaenda ofisini boss nikamkuta akaitwa HR kisanga kikaanzia hapo, nikaulizwa na HR (mdada wa makamo) barua yako uliiacha wapi na jina lako ni nani nikataja, HR akaenda kupekua barua hola akarudi akasema barua yako haipo, naomba huu ushauri muuache km ulivyo..Peleka barua na uzoefu wako wa kazi moja kwa moja hata kama hawajatangaza pale mlangoni kwa mlinzi juu ya bahasha andika kwa gavana bank kuu halafu jieleze humo na kuacha macontacts yako. Huwezi jua japo ni nje ya utaratibu