Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.

Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?

View attachment 2621698
watu wengi kila mmoja akimpumulia kwa karibu ataambukizwa magonjwa. Ni kumlinda with infectious agents be it corona virus or bacteria
 
Kuna corona mpya ila kama kawaida hatuambiwi mapema mpaka watu wengi wafe. Nimeongelea hili sehemu nyingine.
Ungekuta Marekani wameshatoa taarifa tupewe mkopo wa chanjo...na hao waliokufa ni watu maarufu na wamesafiri nchi za ulaya hivyo chanjo za Covid walishachanjwa maana ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…