Kakijana
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 726
- 3,345
Ukiniambia ni ile covid iliyomaliza 'kundi lile' imekuja "kusafisha" njia kwaajili ya "kundi jipya" nitashawishika, maana hawa wamechanja chanjo zote alizochanja Joe BidenKirusi cha Korona kilichoboreshwa kiko mjini. Tuanze kujifukiza na kunywa malimau na tangawizi....