Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Idadi ya Wanaume wanaokufa na kuacha Wake ni kubwa sana kwa Tanzania.
Wanaume tupunguzeni kuoa wanawake wadogo sana kiumuri
Kuoa wanawake wadogo kiumri wala siyo kisababishi kikuu cha wanaume kufa mapema. Duniani kote iko hivyo. Google sababu utazipata...na baadhi ya tafiti zinapendekeza hili suluhisho 👇👇👇