Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Idadi ya Wanaume wanaokufa na kuacha Wake ni kubwa sana kwa Tanzania.
Wanaume tupunguzeni kuoa wanawake wadogo sana kiumuri

Kuoa wanawake wadogo kiumri wala siyo kisababishi kikuu cha wanaume kufa mapema. Duniani kote iko hivyo. Google sababu utazipata...na baadhi ya tafiti zinapendekeza hili suluhisho 👇👇👇

Screenshot_20230513_093058_Chrome.jpg

Screenshot_20230513_093708_Chrome.jpg
 
Ni kila mtu kujiangalia kivyake ndugu yangu na wazee na wenye matatizo ya afya inabidi wawe waangalifu sana...
View attachment 2622645
Naunga mkono hoja, sem hii picha imenikumbusha mbali sana aisee, yaani enzi za majani ya mapera, sijui mchaichai, tangawizi, covidol, vitunguswaumu, karafuu, malimao yalipanda bei hadi nikafunga genge la malimao na tangawizi
 
Wameshakomba mikopo yote ya covid ,subiri itoke ofa ya mikopo mingine fasta watarudisha chanjo na barakoa za kutosha
Hata mimo nimeshangaa, ukiuliza watakwambia wakivaa barakoa watazua taharuki kwa wananchi, sijui kwa nini serikali huwa inaficha mambo ya msingi namna hiyo

Au pengine Merehemu alikua na changamoto nyingine ambayo haihudiani na upumuaji
 
Idadi ya Wanaume wanaokufa na kuacha Wake ni kubwa sana kwa Tanzania.
Wanaume tupunguzeni kuoa wanawake wadogo sana kiumuri
Impact ya kuoa mwanamke makamo yako unaijua mkuu?

Si ni biology ya O level kabisa hiyo halafu umesahau!

Hilo la kwanza, la pili ni swali: kama wote tutakufa ni kipi bora, kufiwa au kutangulia kufa?
 
Soma utafiti braza...

Wameelezea vizuri sana...

Na ni utafiti mkubwa wa karibia dunia nzima!
Ngoja nifanye utafiti kwa kizazi chetu hiki cha miaka ya 80 kuja 2000.

Kwa wazee wa zamani kidogo niliona wazee wawili hivi walitoboa miaka mia na kitu walikuwa na wake wawili, akiwepo babu wa baba yangu alitoboa 123, ila yeye alikua na watatu.
 
Watanzania bwana yaaani watu maaaruf hawafi siku misiba ikifuatana tu utasikia maneno kibao Corona ipi wakati ilishapita tayari na wazungu wenyewe washamaliza project yao wa bongo kweli tuna shida.
 
Tahadhari kwa kumzungushia hizo kamba?.
Yaani watu wasisogee kiasi cha kurusha virus wa magonjwa, maana yeye ni mmoja na wanaokwenda kumpa pole ni wengi na Afya zao hazijulikani, kama unakumbuka nyakati za COVID na hasa maduka ya wahindi mpaka leo hufanya hivyo ili mtu asimsogelee mhusika
 
Possibility ya kuwa na Lockdown ni Ndogo Kamarada kwani Watanzania tutakufa na Njaa.
Na changamoto ya mafua na kubanwa kifua + hofu ukakosea ukakaa lockdown ndio chanzo kikuu cha R.I.P
Ila ww kaendelee ku-"sangalai" na maisha inaisha km influenza mkuu..
 
Back
Top Bottom