Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Falsafa ya Covid ni mtaji wa kina Fauci mkuu, kukopesha serikali mbalimbali duniani "mitaji yao" kinguvu.. wachume riba mpaka wajukuu...na vitukuu vyao havitakufa njaa..
 
Hata mimo nimeshangaa, ukiuliza watakwambia wakivaa barakoa watazua taharuki kwa wananchi, sijui kwa nini serikali huwa inaficha mambo ya msingi namna hiyo

Au pengine Merehemu alikua na changamoto nyingine ambayo haihudiani na upumuaji
Sio changamoto inayohusiana na barakoa mkuu, fuatilia utanishukuru keshokutwa..
 
Hapa hakuna cha ujuzi. Maelezo ya alivyofariki ni kuwa alikuwa na kikohozi na kifua kubana kwa sababu ya virus. Hivyo hii ni tahadhari ili kama aliambukizwa na marehemu asisambaze.
Basi sawaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…