Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

Mwenye falsafa yake hayupo tena, tujikinge tu kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono, kuzingatia na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, ambao hawajachanjwa wakimbie wakapate chanjo

Tupo kwenye awamu ya sayansi mkuu, zile mashine za kujifukiza zilishachomwa moto
Falsafa ya Covid ni mtaji wa kina Fauci mkuu, kukopesha serikali mbalimbali duniani "mitaji yao" kinguvu.. wachume riba mpaka wajukuu...na vitukuu vyao havitakufa njaa..
 
Hata mimo nimeshangaa, ukiuliza watakwambia wakivaa barakoa watazua taharuki kwa wananchi, sijui kwa nini serikali huwa inaficha mambo ya msingi namna hiyo

Au pengine Merehemu alikua na changamoto nyingine ambayo haihudiani na upumuaji
Sio changamoto inayohusiana na barakoa mkuu, fuatilia utanishukuru keshokutwa..
 
Back
Top Bottom