Kakijana
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 726
- 3,345
Falsafa ya Covid ni mtaji wa kina Fauci mkuu, kukopesha serikali mbalimbali duniani "mitaji yao" kinguvu.. wachume riba mpaka wajukuu...na vitukuu vyao havitakufa njaa..Mwenye falsafa yake hayupo tena, tujikinge tu kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono, kuzingatia na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, ambao hawajachanjwa wakimbie wakapate chanjo
Tupo kwenye awamu ya sayansi mkuu, zile mashine za kujifukiza zilishachomwa moto