Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna corona mpya ila kama kawaida hatuambiwi mapema mpaka watu wengi wafe. Nimeongelea hili sehemu nyingine.Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?.
View attachment 2621698
Niko siti yambele nawasubiri wajuzi wajeUna maanisha nini?.
Hapa hakuna cha ujuzi. Maelezo ya alivyofariki ni kuwa alikuwa na kikohozi na kifua kubana kwa sababu ya virus. Hivyo hii ni tahadhari ili kama aliambukizwa na marehemu asisambaze.Tujuzweee, wajuvi mkujeee
Kwanini iwe maeneo ya kishua tu?Chukua tafadhari hasa mnaokaa maeneo ya kishua we are not safe than ever
Fata maelekezoKwanini iwe maeneo ya kishua tu?
Angekuwa hospital au kwenye karantiniChukua tafadhari hasa mnaokaa maeneo ya kishua we are not safe than ever
Siku hizi corona mamaMkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
View attachment 2621698
Kwa hiyo uwo utepe mwekundu ndio unazuia korona , maana hata barakoa hakuna.Kuna corona mpya ila kama kawaida hatuambiwi mapema mpaka watu wengi wafe. Nimeongelea hili sehemu nyingine.