Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 349
- 678
Pambana na hali yako, nguvu uliyotumia kukandia kabla hujajuq kinachoendelea ungeitumia kuomboleza uyatima wako wa mapenziUmetumia nguvu kubwa sana kwenye mambo madogo mno dada angu.
Pole na ahsante kwa ufafanuzi
Ahsante sanaPambana na hali yako, nguvu uliyotumia kukandia kabla hujajuq kinachoendelea ungeitumia kuomboleza uyatima wako wa mapenzi
Mh, kuu hebu ongeza vzr hapa.....I mean ondoa hiyo ambiguity iliyopo.Huyu ni mm kabisa 🤣🤣🤣
Tayari.
Kapeace uko poa?!! Unapigia makofi ujinga aliouongea huyo Binti mbele za watu?!!!!! Hapo anafanya nn zaidi ya kurudisha jitihada za mtoto wa kike nyuma?!!!! Amewamotivate wengi tu hapo watulie tu huko mavyuoni wapanie mapaja wakisaka ahadi za kuolewa basi. Period.Kumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tu
Kaishi nae kwa miaka 12 toka wapo chuo na kazaa nae watoto 2, kwenye harakati za kutafuta elimu yao mumewe alimwambia asijiumize sana na kusoma sababu ipo siku atamuoa.......na kweli kamuoa
Mko na mastress yenu ya kuachwa lazima mchanganyikiwe, mnaona wanaume wote wataachwa km mlivyoachwa kwa aibu na majeraha, sio wanawake wote ni wajinga kama wa kwenu, wajinga wakubwa
First year tu semister ya kwanza love at first sight mtoto tumeishi naye kanizalia binti mzur ila mapenzi hamna tena yupo mkoa ukoMh, kuu hebu ongeza vzr hapa.....I mean ondoa hiyo ambiguity iliyopo.
mantiki yako na huyo niliyemnukuu ni vitu viwili tofauti,Kapeace uko poa?!! Unapigia makofi ujinga aliouongea huyo Binti mbele za watu?!!!!! Hapo anafanya nn zaidi ya kurudisha jitihada za mtoto wa kike nyuma?!!!! Amewamotivate wengi tu hapo watulie tu huko mavyuoni wapanie mapaja wakisaka ahadi za kuolewa basi. Period.
Nawewe uliahidiwa ndoa ukaacha kusoma!Huyu ni mm kabisa 🤣🤣🤣
Duh iweeKumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tu
Kaishi nae kwa miaka 12 toka wapo chuo na kazaa nae watoto 2, kwenye harakati za kutafuta elimu yao mumewe alimwambia asijiumize sana na kusoma sababu ipo siku atamuoa.......na kweli kamuoa
Mko na mastress yenu ya kuachwa lazima mchanganyikiwe, mnaona wanaume wote wataachwa km mlivyoachwa kwa aibu na majeraha, sio wanawake wote ni wajinga kama wa kwenu, wajinga wakubwa
Kumbe wapumbavu mpo wengi hiviKumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tu
Kaishi nae kwa miaka 12 toka wapo chuo na kazaa nae watoto 2, kwenye harakati za kutafuta elimu yao mumewe alimwambia asijiumize sana na kusoma sababu ipo siku atamuoa.......na kweli kamuoa
Mko na mastress yenu ya kuachwa lazima mchanganyikiwe, mnaona wanaume wote wataachwa km mlivyoachwa kwa aibu na majeraha, sio wanawake wote ni wajinga kama wa kwenu, wajinga wakubwa
Lijinga sanaMtoto wa kike anaemsimulia Baba na Mama yake ni namna gani alovyoziniwa kwa miaka 12.