OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland.
Hapo yakawa yamefungwa magoli mawili kwa wakati mmoja. Mimi sijawahi kuona popote hata ndotoni mtu anafunga magoli ya hivi.