Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

Naona kuna mechi inaendelea hapa. Dakika za mwanzo [emoji1787][emoji1787][emoji31]
Hamna kitu mkuu,just appreciation tu.Hata sijawahi mwona dada wa watu ila nimesikia ni most beautiful among ladies humu.

Nasikia kazuriiii kweli kweli kamdada
 
Sijui kwnn refa hakuweka mpira kati baada ya goli kuingia kwa mara ya kwanza. Ule mpira ulikuwa umevuka msitari kabisaaa
Yule refa HAta mm sikumuelewa ni kama alikuwa amelikataa ,ndio maan beleke akaamua kulishindilia Kwa msisitizo akatae Tena na hilo
 
Lazima upo hivo,chanzo changu hakiwezi kuongopa.

Sema huwa hamjijui kuwa ni wazuri,ww unajiona upo kawaida kumbe ni kifaa cha maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee aliyekuambia kakudanganyaa. Hapa JF kuna wazuri balaa.
Km wanaoga maziwaa.
 
Hata mimi sjawahi aseee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom