OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uko sahihi...laiti angekuja mwanzo wa msimu ,mtikisa manyonyo asingemkaribia kwa ufungaji...mechi 14 goli 14... JINI BALEKE aka JINI VALEKView attachment 2584135
View attachment 2584137
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Harland.
Hapo yakawa yamefunga magoli mawili kwa wakati mmoja. Mimi sijawahi kuona popote hata ndotoni mtu anafunga magoli ya hivi
Ukipenda unaweza kumuita BALEGOLI au BALETRICK
Hamfikii Kibu Denis, mpaka kocha kampa Zawadi.
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo
Umeona noma kumlinganisha na MayeleHamfikii Kibu Denis, mpaka kocha kampa Zawadi.
HaswaaaahWajukuu zetu wakija kuona hiyo picha watatuuliza "zamani kukikuwaga hakuna magolikipa?", tutashindwa kuwajibu.
Baletrick linatosha sana mkuu.Ukipenda unaweza kumuita BALEGOLI au BALETRICK
MamboBALETRICK woyeeeeeeee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoaahMambo