Hivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.kweli kabisa chief, nioe matako niyapeleke wapi? nitaoa mwanamke mwenye akili anaejitambua, na wengi wao huwa ni mamiss(wembamba)
Sijui kama utapata majibu ya kuridhisha, in short it's a broad termHivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.
I mean akili na kujitambua hua mnalenga kwenye vitu gani
Sio wembamba wote wanaakili mzee jichanganyeni [emoji28]
Oukay,.Sijui kama utapata majibu ya kuridhisha, in short it's a broad term
Tunalenga kwenye Matako.Hivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.
I mean akili na kujitambua hua mnalenga kwenye vitu gani
π€π€π€π€Tunalenga kwenye Matako.
Anayeona asubuhi kabla ya Kupambazuka, mwenye aibu/haya, Visionary Mama. Anayeishi kwenye mstari huu "Enyi wake watiini waume zenu" wengine wataongezeaHivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.
I mean akili na kujitambua hua mnalenga kwenye vitu gani
Hutaki au...π€π€π€π€
Nimekuelewa mkuu,.Hutaki au...
Futa hii harakaHivi vidogo dogo vinakutosha peke yako, siyo uchukue mzigo wa jamii nzima maana peke yako huumalizi lazima usaidiwe.
View attachment 3315144