Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,954
- 4,389
Sawa Mkuu.Futa hii haraka
Sawa Mkuu.Futa hii haraka
Huyu huwezi kukuta mke wa mtu. Hawa ndiyo wale wa starehe pekee ila kuoa hapana.Ila tuache unafiki na kujimwambafai 🤔View attachment 3315145
Sasa tufanyaje mkuu, toa tamko...Huyu huwezi kukuta mke wa mtu. Hawa ndiyo wale wa starehe pekee ila kuoa hapana.
Huyu akili zake zipo huko nyuma kama wanavyopenda kujigeuza kuinesha matako wakidhani ni dili.
Modo ndiyo mpango mzima hata ukimuweka ndani kama mke unajisikia amani.Hivi vidogo dogo vinakutosha peke yako, siyo uchukue mzigo wa jamii nzima maana peke yako huumalizi lazima usaidiwe.
View attachment 3315144
Kweli kabisa japo sina matako makubwa🤗Mkishiba hayo makande, angalau muwe hata mnalala. Siyo kuja kuandika vitu umeviona tu huko kijijini kwenu, unasema ndiyo dunia nzima ni hivyo.
Kuna mamilioni ya wanawake mnaosema wenye makalio, wameolewa. Shida wanaolewa na wanaume wenye pesa, wametulia. Wewe subiria size yako.
Tutaendelea kupaka mafuta hayo matako yenu , tukitosheka alafuu tunarudi nyumbani.Mkishiba hayo makande, angalau muwe hata mnalala. Siyo kuja kuandika vitu umeviona tu huko kijijini kwenu, unasema ndiyo dunia nzima ni hivyo.
Kuna mamilioni ya wanawake mnaosema wenye makalio, wameolewa. Shida wanaolewa na wanaume wenye pesa, wametulia. Wewe subiria size yako.
Upo sahihi.Matipwa tipwa wengi ni masingle mother
Kujitambua wengi huwa wanamaanisha kujijua wew ni nani katika familia na majukumu yako ni yapi na kuyafuata!Oukay,.
Upo sahihi kabisa mkuu.Tutaendelea kupaka mafuta hayo matako yenu , tukitosheka alafuu tunarudi nyumbani.
Sasa kwa mfano nani aoe gubu kama wewe, angalia tu comment yako🤣🤣
Tunashukuru kwa kutuburudisha na hiki kitu
View attachment 3315152
Ila tukitaka kuoa tunarudi bush kwa wenye akili timamu
View attachment 3315153
Maneno ya mkosaji. Kama wewe umekosa hayo mambo mazuri basi vumilia na shida zako.View attachment 3315107
View attachment 3315108
Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko.
Acha shobo, nimeshasema wanaolewa na wenye hela. Huna pesa imekuchoma. Tafuta hela takataka wewe 🚮Tutaendelea kupaka mafuta hayo matako yenu , tukitosheka alafuu tunarudi nyumbani.
Sasa kwa mfano nani aoe gubu kama wewe, angalia tu comment yako🤣🤣
Tunashukuru kwa kutuburudisha na hiki kitu
View attachment 3315152
Ila tukitaka kuoa tunarudi bush kwa wenye akili timamu
View attachment 3315153
Tukubali hatuna pesa mkuuMimi kwa haraka haraka naona wanaume wengi wenye wanawake wenye makalio makubwa wanafuraha na maendeleo zaidi ya waliooa hawa wenye vikalio vilivyopigwa pasi