Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

Mbona hii sio " rocket science", wanawake wenye matako makubwa ni kucharaza na kula kona ila mungu akijalia unalizalisha na unatoka baruti, hao si wa kuwaoa unatafuta kesi na lawama tu.
Tembea dunia yote hautakuta tajiri kaoa mwanamke mnene mwenye matako makubwa. Kama bongo wapo wenye pesa wameoa hao matako makubwa basi ujue ni washamba na wamewajulia wanawake ukubwani.
 
Tunaoa wenye akili za maisha; hawa wenye maumbo ya kuvutia huwa tunachepukia huko​
 
Ukifanya bidii utakuwa mwanamke wa kwanza mwenye makalio makubwa kuolewa kwa harusi kubwa.
 
Sikiliza mdau. Unao ki portable, zalisha na ma good time anabadilika kuwa mnono!
Ebu fanya uchunguzi utakubaliana na hili!
 
Kazi ya matako ni 1.kukalia 2.kuficha tundu la uchafu bila kujali ukubwa au udogo.
Hayo makubwa kama yanamatumizi mengin.. pole yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…