Picha ni muhimu Sanaa 😊Wakuu
Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
Wakuu
Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
Unawazs sana chakula ndo maana unapata tabu na vitu vya hovyo.Wakuu
Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
Bora hata hiyo nyama nusu... kuna ile mboga ni dagaa sasa ukute dagaa kidogo maji mengi.Sisi sio kwamba tunapenda kula hiyo mifupa, shida yetu kubwa ni Umasikini
Unakuta una familia ya watu 6 nyumbani, halafu unakwenda kununua nyama nusu kilo
Utaachaje kula mifupa hapo 😜
Siyo mifupa tu, wazungu pia hawali mapupu, utumbo, miguu, kichwa, mjegeje, ziwa.Wakuu
Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
Hahaha.........imenikumbusha mbali sana MkuuBora hata hiyo nyama nusu... kuna ile mboga ni dagaa sasa ukute dagaa kidogo maji mengi.
Nimekumbuka mwaka 2004 - 2006 nikiwa A-level. Wakati wa likizo nilikuwa nafanya vibarua kwenye ujenzi (saidia fundi). Tulikuwa tukijipikia sasa ikiwa siku ya dagaa ndo upishi unakuwa hivyo. Cha kushangaza tulikuwa tunafakamia hatari kwa sababu njaa ya site sio poa.Hahaha.........imenikumbusha mbali sana Mkuu
Kwa kweli maisha ni safari ndefu sana, na ukiamini unaweza kutoboa at your 25,50 ama 60 yrs
Mimi pia nilikula aina hiyo ya msosi wakati nimeanza maisha ya kigeto geto DSM enzi hizoNimekumbuka mwaka 2004 - 2006 nikiwa A-level. Wakati wa likizo nilikuwa nafanya vibarua kwenye ujenzi (saidia fundi). Tulikuwa tukijipikia sasa ikiwa siku ya dagaa ndo upishi unakuwa hivyo. Cha kushangaza tulikuwa tunafakamia hatari kwa sababu njaa ya site sio poa.
hata firigisi ya kuku hawali, kuna mmoja tulicamp naye, cku tukanunua kuku tukachinja, akataka kutupa firigisi, niidaka juu juu, akaniuliza ya nn hyo, nikamjbu hii nyama nzuri sana, alishangaa sana.Siyo mifupa tu, wazungu pia hawali mapupu, utumbo, miguu, kichwa, mjegeje, ziwa.
Kwani Kuna mtu anakula mjegeje wa Ng'ombe?Siyo mifupa tu, wazungu pia hawali mapupu, utumbo, miguu, kichwa, mjegeje, ziwa.