Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Bongo kuna baadhi ya huduma au bidhaa hazihitaji promotion na hata promotion ikifanyika haiongezi wala kupunguza mapato au huduma. Machawa wa mjini wanakula fedha za bure tu na yawezekana wanatumika kama daraja la kupitishia issue za promotion hata kama ilikuwa haiitajiki
 
🎶Safari ni Safari,
Iwe kwa miguu ama kwa basi,
Safari ni Safari,
Kutumia baiskeli au daladala,
Safari ni Safari,
Kupita Jangwani au porini
Safari ni Safari 🎶

Dogo tulia aisee usitupige kamba hadharani wewe umekuja kipindi ambacho Safari inakula matunda ya matangazo yao.
 
Walikuaga na promotion kipindi cha nyuma...
 
Ilipigwa sana Promo miaka kama 20 iliyopita kiasi kwamba Walevi wengi wa sasa ndio walikuwa wanafunguka macho wanaona safari

Enzi hizo tulikuwa tunakejeli

Safari

(Sasa Fala anaagiza Round isitishwe)
 
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Unasdema haitegemei PROMO??????? na hiki unachofanya ni nini?
 
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Una umri gani au mjini umefika lini?
 
Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo

Ova
Kwa kweli,hili dude lilikuwa hatari zamani kabla wasauzi hawajainunua tz breweries enzi ya mkapa,walikuja na fomula mpya wakachakachua kidogo,still sio mbaya..

Hakika tunajivunia bia yetu.wabunifu wa safari lager walitoa hiyo fomula baada ya kutoka masomoni ujerumani miaka ya 70s.kina somebody Minja,mshana wakemia wakongwe sijui kama bado wapo haI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…