Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
Mleta mada mtoto wa juzi hiyo bia ilikuwa na matangazo sana ikiwemo ya mmasai kuokota kizibo cha chupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jua linapozama ni kama wasifu wa kazi yetu, asubuhi tunapoamka na kujenga Tanzania mpya, Safari Lager ni bia bora kwa wajenzi wa Tanzania mpya.mleta mada mtoto wa juzi hiyo bia ilikuwa na matangazo sana ikiwemo ya mmasai kuokota kizibo cha chupa
Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Hapo kuna kanafsi kanakwambia unaenda mbinguni au haufi, kanakuongopea mkuu.Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Miaka 15/16 watu mnagonga mondiii, aiseee...nimeanza late after chuo, 24+ hivi...hiyo miaka ulioanza nilikuwa ni John Kisomo...haahaNmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova
Sijawahi kunywa kilevi chochote tangu nizaliwe.
Niache juice na maziwa nijaze takataka na sumu mwilini?
Nasubiei zamu ya kibuku,Na watu wa mbege tunaruhusiwa kuchangia uzi huu
Nimeona ndugu zangu wengi waliokufa kwa madhara ya pombe kwa kansa ya ini na kisukari. Wanywaji wengi wakifikisha miaka 40 mpaka 50 wanavuna kisukari na mateso na majuto mengi.Hapo kuna kanafsi kanakwambia unaenda mbinguni au haufi,, kanakuongopea mkuu
Juice ya kutengeneza homeUtakuta unakunywa juice ya JAMBO
Juice inatengenezwa home kwa matunda.Mwamba umeshaumia!hizo fursana SI ndio more dangerous?
Nakunywa za nyumbani tu.Kwa taarifa yako, juice kama haijatengenezwa nyumbani (za kiwandani) hiyo ni sumu kali kuliko bia.
Sasa unamiaka mingapi?Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova
Unasdema haitegemei PROMO??????? na hiki unachofanya ni nini?Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Una umri gani au mjini umefika lini?Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Kwa kweli,hili dude lilikuwa hatari zamani kabla wasauzi hawajainunua tz breweries enzi ya mkapa,walikuja na fomula mpya wakachakachua kidogo,still sio mbaya..Nmeanza kunywa hii bia nikiwa na miaka 15/16 mpaka leo
Ova