Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
Anasakwa dubwe na dubwe lazima ajichanganye aingiie kwenye 18 ndio hapo utapoona akichezea kichapo kitakatifu dubwe ni ile sampuli ya wanaouliza WU A U? Sasa wametoa onyo kwa wote wanaojifanya madubwe wafanye fyoko kisha washikishwe adabu uliza tena WU A U? jamaa wakuzukie kule unapojificha kwenye kambi za jeshi waondoke na wewe..
 
Back
Top Bottom