Ni muhimu sana kuwa taifa moja lenye nguvu kuliko yote, kama ilivyo USA, cha muhimu liwe ni lenye kupenda hakina demokrasia, ambalo linaluwa baba wa mataifa. Watoto wakikengeuka, wanashikishwa adabu.
Na hapa, Trump anaitumia nafasi yake vizuri. Tuzidi kuomba Marekani izidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Mataifa kama China au Russia, mojawapo likiwa na nguvu kuliko mataifa yote, ni hasara kubwa kwa sababu wataitumia nafasi kudidimiza haki na demokrasia.