Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

Greenland naona kama wao wanataka wawe upande wa Marekani ila Denmark hawataki.
Naona Marekani wameweka ofa ya kuinunua Greenland
Ni nchi tajiri na ina mafuta mengi na madini kibao
Trump uchu unamtoka na ataichukua
Naona NATO inasambaratika au atajitoa.
Wananchi wamejigawa sasa
 
Sawasawa ni Wilaya imezungukwa na majimbo ya Maryland upande wa kaskazini na Virginia upande wa kusini.

Pembeni yake kuna mto wapita hapo uitwao Potomac.
Dah... Umenikumbusha... Hapo patomac ndio kuna eneo la Makaburi ya mashujaa wanajeshi wa America
 
Back
Top Bottom