Hawa jamaa nimewakubali sana, wale wengine hamna kitu ni kumsupport ushoga na kutoa mimba, ujinga ujinga turepublican yule hawa ndo huwa wazee wa vichapo kwa wahuni wote na kulinda maslahi ya marekani.
Safi, hili huwa nalisema mara kadhaa, China hata akiwa superpower hana msaada wowote maana hasimami katika haki, haisaidii wanyonge, yeye ni biashara tu, tumuombee njaa tuNi muhimu sana kuwa taifa moja lenye nguvu kuliko yote, kama ilivyo USA, cha muhimu liwe ni lenye kupenda hakina demokrasia, ambalo linaluwa baba wa mataifa. Watoto wakikengeuka, wanashikishwa adabu.
Na hapa, Trump anaitumia nafasi yake vizuri. Tuzidi kuomba Marekani izidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Mataifa kama China au Russia, mojawapo likiwa na nguvu kuliko mataifa yote, ni hasara kubwa kwa sababu wataitumia nafasi kudidimiza haki na demokrasia.
Hii IKO WAZI, MAREKANI NA NCHI ZA MAGHARIBI WANAJALI HAKI ZA BINADAMUSafi, hili huwa nalisema mara kadhaa, China hata akiwa superpower hana msaada wowote maana hasimami katika haki, haisaidii wanyonge, yeye ni biashara tu, tumuombee njaa tu
Noma wamarekan wameichukua nchi yao kutoka kwa wahuni kina obama
Yeah .... Inaitwa War of RETALIATION..... Ila maduro kadakwa kizembe sana aseeRussia hawawezi kuinyakua KIZEMBE kama Maduro.Lazima zitapigwa kwanza hadi hasara Kwa kila upande upatikane tena wa kiwango cha juu
Yeah .... Inaitwa War of RETALIATION..... Ila maduro kadakwa kizembe sana asee
Iran and rwandaWho’s next?
Columbia, Greenland or Cuba?
Ni Colombia(Nchi ipo Amerika Kusini inapakana Venezuela) na sio Columbia, Columbia hii ni(Jimbo ndani nchi ya USA ya Trump hii)...Who’s next?
Columbia, Greenland or Cuba?
Ungejua chanzo cha kifo chake wala usingeingia humu kuropoka.Maduro kaokotwa kama mmachinga na mgambo wa jiji. Yaani ingekuwa enzi za mwanangu mwenyewe Hugo Chavez pangechimbika si kitoto. Kwanza kidume kile hata Trump asingethubutu kumvamia.
There is no state in USA which goes by the name Columbia. This is false. Please be informed accordingly.Ni Colombia(Nchi ipo Amerika Kusini inapakana Venezuela) na sio Columbia, Columbia hii ni(Jimbo ndani nchi ya USA ya Trump hii)...
Ila Marekani huu ubabe wake uliopitiliza sijui nani wakumzuia, wote wanamuogopa sio UN sio Urussi, ambaye naye yupo Bize na Ukraine(Vita ya kimkakati) na China kuitaka Taiwani kimkakati lakini Mmarekani kaweka ngumu.
Columbia sio state ni wilaya ya utawala huko kwa Trump Washington district of Columbia (Washington DC)Ni Colombia(Nchi ipo Amerika Kusini inapakana Venezuela) na sio Columbia, Columbia hii ni(Jimbo ndani nchi ya USA ya Trump hii)...
Ila Marekani huu ubabe wake uliopitiliza sijui nani wakumzuia, wote wanamuogopa sio UN sio Urussi, ambaye naye yupo Bize na Ukraine(Vita ya kimkakati) na China kuitaka Taiwani kimkakati lakini Mmarekani kaweka ngumu.
Sawasawa ni Wilaya imezungukwa na majimbo ya Maryland upande wa kaskazini na Virginia upande wa kusini.Columbia sio state ni wilaya ya utawala huko kwa Trump Washington district of Columbia (Washington DC)
...... Someone else will raise your sons and daughters......Anauliza WU A U? Anaambiwa WE DON'T CARE WU U A... WE DON'T CARE WHAT YOU LOOK LIKE
Kwa kweli wakitaka kumdhibiti wanawezaNi Colombia(Nchi ipo Amerika Kusini inapakana Venezuela) na sio Columbia, Columbia hii ni(Jimbo ndani nchi ya USA ya Trump hii)...
Ila Marekani huu ubabe wake uliopitiliza sijui nani wakumzuia, wote wanamuogopa sio UN sio Urussi, ambaye naye yupo Bize na Ukraine(Vita ya kimkakati) na China kuitaka Taiwani kimkakati lakini Mmarekani kaweka ngumu.
Nimerekebisha bossNi Colombia(Nchi ipo Amerika Kusini inapakana Venezuela) na sio Columbia, Columbia hii ni(Jimbo ndani nchi ya USA ya Trump hii)...
Ila Marekani huu ubabe wake uliopitiliza sijui nani wakumzuia, wote wanamuogopa sio UN sio Urussi, ambaye naye yupo Bize na Ukraine(Vita ya kimkakati) na China kuitaka Taiwani kimkakati lakini Mmarekani kaweka ngumu.
Ni republicanBush alikua chama gani? Maana nae alikua na u trump flani