HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Jan 7, 2026 #41 Black Sniper said: Who’s next? Colombia, Greenland or Cuba? Click to expand... Greenland naona kama wao wanataka wawe upande wa Marekani ila Denmark hawataki. Naona Marekani wameweka ofa ya kuinunua Greenland
Black Sniper said: Who’s next? Colombia, Greenland or Cuba? Click to expand... Greenland naona kama wao wanataka wawe upande wa Marekani ila Denmark hawataki. Naona Marekani wameweka ofa ya kuinunua Greenland
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Jan 7, 2026 #42 HIMARS said: Greenland naona kama wao wanataka wawe upande wa Marekani ila Denmark hawataki. Naona Marekani wameweka ofa ya kuinunua Greenland Click to expand... Ni nchi tajiri na ina mafuta mengi na madini kibao Trump uchu unamtoka na ataichukua Naona NATO inasambaratika au atajitoa. Wananchi wamejigawa sasa
HIMARS said: Greenland naona kama wao wanataka wawe upande wa Marekani ila Denmark hawataki. Naona Marekani wameweka ofa ya kuinunua Greenland Click to expand... Ni nchi tajiri na ina mafuta mengi na madini kibao Trump uchu unamtoka na ataichukua Naona NATO inasambaratika au atajitoa. Wananchi wamejigawa sasa
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,894 Reaction score 22,679 Jan 10, 2026 #43 Richard said: Sawasawa ni Wilaya imezungukwa na majimbo ya Maryland upande wa kaskazini na Virginia upande wa kusini. Pembeni yake kuna mto wapita hapo uitwao Potomac. Click to expand... Dah... Umenikumbusha... Hapo patomac ndio kuna eneo la Makaburi ya mashujaa wanajeshi wa America
Richard said: Sawasawa ni Wilaya imezungukwa na majimbo ya Maryland upande wa kaskazini na Virginia upande wa kusini. Pembeni yake kuna mto wapita hapo uitwao Potomac. Click to expand... Dah... Umenikumbusha... Hapo patomac ndio kuna eneo la Makaburi ya mashujaa wanajeshi wa America