Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Yule hata mimi namuelewa sanaFatilia mafundisho ya Mch Mbaga yule Mimi namuelewa
Naijua hiyo, ni siku ya sabato kweli kama ulivyosema. Kutana nao hizo siku zingine sasa katika mishemishe za kila siku ndo utaelewaUmewanukuu vibaya Hawa jamaa,mbona wako vizuri tuu Mkuu Tena ukifika mgeni wa dhehebu lingine kwao,utasikia aliye karibu na mgeni,mpe mkono' wa karibu!Jisikie mgeni kula popote Leo ni Sabato.Maana wanabeba menu.
Nini kitatokea baada ya mtu kufa? End of story.HACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story:
1: Sabato
2: Dalili za kuja kwa Yesu
3: Kanisa la kweli
4: Yesu kuhani mkuu
5: Mwenendo wa Mkristo
6: Wokovu (uhusiano kati ya Neema, Sheria na Wokovu)
7: Ujio wa Yesu(Yesu atarudi kwa Namba gani)
8: Hali ya wafu ( Nini kinatokea baadae ya mtu kufa)
Basi hilo dhehebu lina watu dhaifu sana kichwani, angalia watakuwa na vitabu mahususi vya upotoshajiWakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.
Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni ipi,Mnyama na joka kupitia Rumi ya kipagani,mala chapa ya paji ya nyuso zao
Muda wote ni kuiponda Roma,hua najiuliza inamaana bibilia nzima imejaa vifungu hivyo tuuu
ALAMA YA MNYAMA,
Uanaume wako utakuwa na walakinSio kila mtu anahitaji mabikra 72 mkuu
Siyo hacha ni achaHACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story:
1: Sabato
2: Dalili za kuja kwa Yesu
3: Kanisa la kweli
4: Yesu kuhani mkuu
5: Mwenendo wa Mkristo
6: Wokovu (uhusiano kati ya Neema, Sheria na Wokovu)
7: Ujio wa Yesu(Yesu atarudi kwa Namba gani)
8: Hali ya wafu ( Nini kinatokea baadae ya mtu kufa)
KAnisa la sabato na RC ni kama simba na yanga watani wajadi,ila RC hana muda nao kabisa mana sabato kwa RC ni kama Nyangumi na dagaa.Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.
Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni ipi,Mnyama na joka kupitia Rumi ya kipagani,mala chapa ya paji ya nyuso zao
Muda wote ni kuiponda Roma,hua najiuliza inamaana bibilia nzima imejaa vifungu hivyo tuuu
ALAMA YA MNYAMA,
WAKO TOO SHALLOWNdio walivyo mkuu, hata kwenye mikutano yao wanahubiri tu, sabato hawahubiri habari ya ufalme wa Mungu, wamekomaa sabato ya kweli sabato ya kweli. Yesu amesema heri wenye moyo safi watamuona Mungu
Thibitisha kwanza kama una akili (elewa swali)Alooรณooooooo huu c uongo na story za chinua uchebeee๐คช๐คช๐คช๐คช
Thibitisha nani alishaona Kuni uko unakosemaa mkuuu..
Dini ni nini mkuu?Ocult in pentecost church
Ulokole si dini ni roho za kishetani (google ocult in pentecost church)
Sawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabayaSio kila mtu anahitaji mabikra 72 mkuu
hao mabikra pambanien wenyewe wengine tunautafuta ufalme wa MunguSawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabaya
Mie nishamaliza jukumu langu musiabudie masanamu mutapotea vibaya
Kwa kutohitaj hao Mabikra?Uanaume wako utakuwa na walakin
Unakuta unamheshimu mtu kumbe nae ni msenge tu...!! Kafiri babu yako panzi weeUkifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
Unapotosha. Ni aya gani katika Quran inasema binadamu watakuwa kuni huko motoni?Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
๐๐๐ Pole mkuu mie unanionea bure tu lakini pamoja na huyo babu yanguUnakuta unamheshimu mtu kumbe nae ni msenge tu...!! Kafiri babu yako panzi wee
Pitia hapa boss sio maneno yangu haya mie nanukuuUnapotosha. Ni aya gani katika Quran inasema binadamu watakuwa kuni huko motoni?