Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa.
Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti zinatoka hadi chumba nacho lala kweli? Maana nyumba yenyewe haina ceiling board, yaani nasikia kila kitu kabisa. Hadi wanapogeuka.
Sister akiamka asubuhi amechoka sana anasinzia mchana wote. Nadhani hili si jambo zuri kwa kweli. Shem anatumia mavitu ya ajabu ajabu nataka nimwambie sister lakini nashindwa.
Nlimsikia anaongea na simu akimwambia mwenzie kuwa amletee vichupa 10 vya Mkongo. Sijui kama haya mambo yana ruhusiwa katika mahusiano. Si jambo jema.
Toka nimekuja hapa home kwao shem naona amechange. Uchangamfu haupo tena. Anakuwa serious muda mwingi sijui amepatwa na nini. Mimi nipo hapa kwa muda mfupi tu. Toka nimemaliza fomu four mwaka jana.
Natafuta kazi wajameni. Hivyo mara nyingi naangalia kwenye TV matangazo. Siku nyingine unakuta Rimoti haipo. Kumbe kasahau kaenda nayo kazini. Kwa kweli shem amevurugwa sana.