Sijisifii ila mwanamke nitakayemuoa atakuwa amepata bahati tu

Bahati halafu huna hela huyo mwanamke atakua amepata bahat gani? Pamoja na hayo yote uliyoyasema kama hela haitakuwepo bado sio bahat kwa mwanamke.
 
Sifa zako ni safi, wasiwasi ni kupata mwenza aliye na sifa kama zako. Na mara nyingi ni vigumu kupata mke mnayefanana kwa tabia ndiyo sababu tunaambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Sifuati mkumbo nikitaka kuoa nitaoa yeyote NITAKAEmuona anaendana na Mimi bila kujali ni single mother, alikuwa anajiuza,nk
πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mkuu una misimamo! Mavi-jana ya siku hizi eti yanalilia yawowe Bikira lakini wewe hujali kitu! Hata anayejiuza twende kazi tu!
 
mwanamke ana kazi kubwa mbili kwa mwanaume:
1. kukutuliza ukichanganyikiwa
2. kukuchanganya ukitulia
 
Bahati halafu huna hela huyo mwanamke atakua amepata bahat gani? Pamoja na hayo yote uliyoyasema kama hela haitakuwepo bado sio bahat kwa mwanamke.
Naishi kwenye jamaa ya watu wenye pesa nyingi ila hana akili wewe unaweza kuwa mmoja kati yao sikushangai
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mkuu una misimamo! Mavi-jana ya siku hizi eti yanalilia yawowe Bikira lakini wewe hujali kitu! Hata anayejiuza twende kazi tu!
Mkuu kwani malaya Wanaojiuza hawakuwaga na bikra?

Wanaotaka kuoa bikra ni vijana wachuo au walio form six Hawajui umalaya unachangiwa na vitu vingi sana

Unaweza pata bikra ukamtoa then yakawa yake ya nyimbo ya prof jay na ferooz NIKUSAIDIEJE"

Wengi vijana Hawawezi kunielewa because ata vioo vyao vya jamii msanii anaingia studio ana record nyimbo ya Bora ya mwaka inayoitwa" NAENDA KUPANDA NDEGE" 😁
 
Sifa zako ni safi, wasiwasi ni kupata mwenza aliye na sifa kama zako. Na mara nyingi ni vigumu kupata mke mnayefanana kwa tabia ndiyo sababu tunaambiwa tuishi nao kwa akili.
Upo sahihi kikubwa kufichiana madhaifu maana ata Mimi sio mkamilifu kutafuta mnaeendana then kufichiana madhaifu tu
 
Ndo umeamua ulete tangazo utapeli wadada πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndiyo inavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…