Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hukuweka namba ila katika mfulilulizo wako jina la kwanza na la 3 ni majina ya friends wangu.... kwa kweli naomba nisema dhahiri shairi kuna ukweli, Eddy ana mademu wasiopungua 4, ukiacha wale hit and run, Jimmy hana demu permanent yaani anawakula balaa from mademu wa saloon, restaurant, Bar, vyuo etc...wanafanya house party wanakuwa men 4 wanawake kama 16 hv...Imagine!!!Eddy
Brian
Jimmy
Chris
Junior
Washkaji zangu Eddy na Jimmy mmetajwa huku!!