Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

Hukuweka namba ila katika mfulilulizo wako jina la kwanza na la 3 ni majina ya friends wangu.... kwa kweli naomba nisema dhahiri shairi kuna ukweli, Eddy ana mademu wasiopungua 4, ukiacha wale hit and run, Jimmy hana demu permanent yaani anawakula balaa from mademu wa saloon, restaurant, Bar, vyuo etc...wanafanya house party wanakuwa men 4 wanawake kama 16 hv...Imagine!!!

Washkaji zangu Eddy na Jimmy mmetajwa huku!!
Mkuu umeamua kunitaja😂😂🙌🏿
 
Kutana majina ya
Frank - waongo balaa
Albert - hawachagui la kusema na wapi kwa kusema
Prisca - mabingwa kukatisha route
Amina -kipaji cha uchonganishi
Edson - udokozi wa mali ya uma
Edson hapo umedanganya mkuu🥲
 
Back
Top Bottom