Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Mbona G Mimi ni mtulivu aseehYeyote tu wa kuitwa G jamani๐๐,. Sijai ona G mtulivu
Mkuu umeamua kunitaja๐๐๐๐ฟHukuweka namba ila katika mfulilulizo wako jina la kwanza na la 3 ni majina ya friends wangu.... kwa kweli naomba nisema dhahiri shairi kuna ukweli, Eddy ana mademu wasiopungua 4, ukiacha wale hit and run, Jimmy hana demu permanent yaani anawakula balaa from mademu wa saloon, restaurant, Bar, vyuo etc...wanafanya house party wanakuwa men 4 wanawake kama 16 hv...Imagine!!!
Washkaji zangu Eddy na Jimmy mmetajwa huku!!
immaEddy
Brian
Jimmy
Chris
Junior
Mkuu, sio woteEddy
Brian
Jimmy
Chris
Junior
Edson hapo umedanganya mkuu๐ฅฒKutana majina ya
Frank - waongo balaa
Albert - hawachagui la kusema na wapi kwa kusema
Prisca - mabingwa kukatisha route
Amina -kipaji cha uchonganishi
Edson - udokozi wa mali ya uma
akina G wanashida ganiHao ni guys,. Majina ya watoto wasumbufu
1. Ima
2.Ivan
3. Yeyote yule wakuitwa G
Watundu mnooakina G wanashida gani
Kwanza Gregory wanakuwaga wabonge halafu wana fujoHadi Gregory?
Si umetulia ukubwani.,.๐Mbona G Mimi ni mtulivu aseeh
Ukubwa gani sisSi umetulia ukubwani.,.๐
Hata Nabii Mkuu Geordave hujamuona !!Yeyote tu wa kuitwa G jamani๐๐,. Sijai ona G mtulivu
Inategemeana na ukandaEdson hapo umedanganya mkuu๐ฅฒ
๐๐๐๐๐ฟInategemeana na ukanda
Chuna mkuu si unajua nimepiga kwa kodi basi baadae tukutane pale kwa Mjuba tupige castle nyepesi kadhaa kusindikiza #TBT!Mkuu umeamua kunitaja๐๐๐๐ฟ
๐คฃ๐คฃ๐คฃMnakuaga wapole handsome ila playboy number moja
๐๐๐๐ฟLimeisha hiloChuna mkuu si unajua nimepiga kwa kodi basi baadae tukutane pale kwa Mjuba tupige castle nyepesi kadhaa kusindikiza #TBT!
Uzi batili bila mvaa kobaz hata mmoja.Eddy
Brian
Jimmy
Chris
Junior