Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Inaweza kuwa yeye anahisi hivyo.
Aliwafokea wizara ya fedha walioteketeza mapesa wakati serikali ikiwa kwenye mei mosi hakupata sapoti toka kwa bosi.

Nafikiri alikuwa bado hajajua anaongoza awamu ya aina gani, tangu hapo namuona hafurahishwi na mwenendo, anajilazimisha upole na hulka yake ukali
 
Unamuona Majaliwa kapoa sababu hajasimama kutetea upumbavu wenu wa kuuza bandari kwa waraabu?
 

[emoji2284]
 
Mjadala wa bandari nafasi yaķe ilichukuliws na Dk Mwekiti
 

Kassim yupo yupo sana.

Tusubiri.
 
Thubutuuu! Hakuna wa kumgusa Majaliwa. Majaliwa is there to stay. Hii nchi siyo nyumba ya mtu.
 
Majaliwa hana muda na media anafanya kazi nyingi anatumwa na rais.
 
Serikali ya bongo inakiki kama wasanii wa bongo kila siku story haziishi.
 
Izi story tumeziskia muda sana alafu bado hatoki muda wake umebaki kidogo akimaliza hii kumi tu itakua imetosha.
 
Thubutuuu! Hakuna wa kumgusa Majaliwa. Majaliwa is there to stay. Hii nchi siyo nyumba ya mtu.
Nani aliyesema atamgusa? Umesoma kilichoandikwa au umekurupuka usingizini?

Unaota? Au tayari weekend imeanza?
 
Izi story tumeziskia muda sana alafu bado hatoki muda wake umebaki kidogo akimaliza hii kumi tu itakua imetosha.
Sijawahi kuzisikia.

Kwa kuwa yupo bado basi ni kwa ajili Boss wake, Mama Samia, anaona bado anahitaji awepo, siyo kwa kingine chochote.

Amechoka sana (exhausted).
 
Huyu mama siyo weak tu, ni majuma kabisa 😂
 

Magufuli was tough, kwa hiyo alikuwa kazi yake kusikiliza na kutenda, kwa sasa ni rahisi kuoneka kupwaya maana creativity yake na uwezo wa ku lead, kumshauri rais na kusimamia lazima uonekane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…