blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
True that..Ukweli mchungu🤔ogopa sana kupata boss weak na incompetent kukuliko,utajuta,utatamani kuacha kazi,mie ilinikuta sehemu nikaomba uhamisho wa hiari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True that..Ukweli mchungu🤔ogopa sana kupata boss weak na incompetent kukuliko,utajuta,utatamani kuacha kazi,mie ilinikuta sehemu nikaomba uhamisho wa hiari.
Na wewe huwa una mdomo mchafu namna hiyo?Mama'ko huwa anatumia kiungo gani? Ukiwa na jibu, ndiyo hicho hicho. Unaweza kusasambuwa tu.
Zamani ulifanikiwa kunidanganya. Niliamini kuwa unafahamu vizuri Kiswahili, kumbe sivyo.Natamani iwe hivyo. Wanapwaya sana.
Mwigulu hana kabisa ethics, sasa hivi anatowa hotuba huku anavuta makamasi yake kooni, yanasikika kwenye tv. Hili jitu halina kabisa oersonality ya kuwa waziri.
Huenda anamkera Faiza kwa sababu ana mke mgalatia.Huyu Ka phone si ndugu yetu katika Imani?
Mkataba ni mwema sana ule kwa wenye kuelewa maana ya biashara za bandari.Siyo yeye pekee aliyepwaya, bali Serikali nzima imepwaya sana.
Serikali makini unafikiri ingewezekana vipi kupeleka ule mkataba wa kishenzi bungeni? Maana kitu kama kile kinajadiliwa kwanza ndani ya management ya bandari. Kinajadiliwa kati ya management ya bandari na waziri na katibu mkuu, kisha kati ya waziri na Rais, mwishowe ndani ya baraza la mawaziri, ndiyo inapelekwa huko Bungeni.
Sasa huko kote unapita, hakuna anayeshtuka kuwa kilichosainiwa hakikidhi hata basic requirements za mkataba. Hapo si inamaanisha Serikali nzima ina matatizo?
Mwisho wa Majaliwa inasemekana ni mwaka huu, ameshajua na ameshajiandaa, tatizo hajui atatolewa kwa gear ipi. Inaweza kuwa gear ya kiuungwana au fedheha.Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa
kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Ama anaumwa ama mengine zaidi.
Huu siyo utabiri bali ni uchambuzi wangu binafsi wa kawaida tu. nimeona nimsanuwe.
Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa
kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Ama anaumwa ama mengine zaidi.
Huu siyo utabiri bali ni uchambuzi wangu binafsi wa kawaida tu. nimeona nimsanuwe.
Majaliwa ni Decent PM this country has ever had so far, leave aside the likes of Msuya..Malecela..Warioba..Mwisho wa Majaliwa inasemekana ni mwaka huu, ameshajua na ameshajiandaa, tatizo hajui atatolewa kwa gear ipi. Inaweza kuwa gear ya kiuungwana au fedheha.
Kwa sasa Majaliwa anateseka sana kisaikolojia, hana raha na hajui nini kitafuata.
mama sa100 shikamoo! lakini sisi hatuna amani mioyo yetu na DP worldHisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa
kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Ama anaumwa ama mengine zaidi.
Huu siyo utabiri bali ni uchambuzi wangu binafsi wa kawaida tu. nimeona nimsanuwe.
Sawa.Kasome post namba moja. Nimetumwa na nafsi yangu.
Hii umeitoa wapi? mwanamke anaolewa upande wowote ule kwa sababu dini ni swala la mwanaume na siyo mwanamke.Hiyo mbona Kiislam ruksa.
Mwanamke wa Kiislam ndiyo haolewi na asiye Muislam.
Hakuna kitu kama hicho.Tigo wanatumaga meseji kuuuliza waziri mkuu ni nani ?
CCM mnaviziana muda wote.
Tunasubiri execution.