Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipaswa kuondolewa kitambo. Lakini sasa ni too late.Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa
kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Ama anaumwa ama mengine zaidi.
Huu siyo utabiri bali ni uchambuzi wangu binafsi wa kawaida tu. nimeona nimsanuwe.
Basi aliniiga mimi. By that time I wasnt in Tanzania.Ndiyo lilikuwa neno lake kubwa kwenye kampeni zake za urais 2015 kupitia chadema.
Faiza Jambo dadake! Hii ilikuwa ni kanjanja ya Mzee Lowasa kupitia Chadema. Wala sio PM aisee!Ndiyo lilikuwa neno lake kubwa kwenye kampeni zake za urais 2015 kupitia chadema.
Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa
kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake.
Hata hivi sasa namuona akiwa bungeni kwenye hotuba ya bajeti akiwa ni kama mtu ambae hana raha kabisa, ni kama mtu aliyechoka na anajisukuma tu, siioni kabisa hamasa binafsi.
Ama anaumwa ama mengine zaidi.
Huu siyo utabiri bali ni uchambuzi wangu binafsi wa kawaida tu. nimeona nimsanuwe.
Thanks.Jifunze kuandika (na kuongea) kiswahili sanifu wewe bibi. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
- kumfuatilia
- kumlinganisha
- ambaye
- nimsanue
Back to the post..............
Awe Majaliwa au mwanaCCM mwingine yeyote yule, wote ni ukoo wa panya tu.
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
Tpaul ! Kumbe hiki kidada# faiza hakijui hata kuandika vizuri pamoja na sura yeke nzuri hivi japo umri umekwenda! Mkuu kumbaka tangu kalipoachika na yule mkristo kalidata mamaeeee!Jifunze kuandika (na kuongea) kiswahili sanifu wewe bibi. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
- kumfuatilia
- kumlinganisha
- ambaye
- nimsanue
Back to the post..............
Awe Majaliwa au mwanaCCM mwingine yeyote yule, wote ni ukoo wa panya tu.
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
Nafikiri neno zuri halikuwa kupwaya, ila kutoendana.Haswaa, kama kiatu cha sasa hivi ni kikubwa kwake.
Inaonesha alizowea kupelekeshwa
Pelekeshwa bila mpangilio maalum. Sasa mambo "organised". Hakuna kufanyiana ubabe.
Muosha huoshwa. Kiswahili bwana.Jifunze kuandika (na kuongea) kiswahili sanifu wewe bibi. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
- kumfuatilia
- kumlinganisha
- ambaye
- nimsanue
Back to the post..............
Awe Majaliwa au mwanaCCM mwingine yeyote yule, wote ni ukoo wa panya tu. CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
Muungwana ni kitendo DadaThanks.
Inaweza kuwa yeye anahisi hivyo.Nafikiri neno zuri halikuwa kupwaya, ila kutoendana.
Kwa maana kwamba aliendana na awamu iliyopita sio hii. Ukisema hatoshi utakinzana mitazamo na watu wanaoona awamu haimfai sababu yeye ni bora kuliko awamu husika
Kinajifanya sana kuwakosoa wenzake na kuwaita watu "punguan wahed" kumbe na chenyewe hakina lolote aisee! Nilidhani huwa hakikosei. 😀 😀 😀Tpaul ! Kumbe hiki kidada# faiza hakijui hata kuandika vizuri pamoja na sura yeke nzuri hivi japo umri umekwenda! Mkuu kumbaka tangu kalipoachika na yule mkristo kalidata mamaeeee!
Never outshine your BOSS.Kwasababu katiba yetu inatupa marais DHAIFU.
kwahiyo Waziri Mkuu akiwa HODARI analazimishwa KUDHOOFISHWA.
Tuliona kipindi cha JK, Lowassa alikuwa FIRM Prime Minister akaundiwa Zengwe akalazimiswa ng'atuka.
Magufuli alikuwa Rais IMARA, alikuwa na Majaliwa Imara hivyo hakuna aliyehisi mwenzake anataka mpoka sifa.
MAMA ni WEAK.... anahitaji the WEAKEST PM, otherwise atajihisi na anajihisi hata sasa anafunikwa na PM.
Hivi myth ina apply Africa tu .. au Tz.. au Dunia Nzima..!?Never outshine your BOSS.
Mawaziri wote waliokuwa machachari enzi za HAYATI leo hii wote wamekuwa kama wamenyeshewa na mvua!