Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Cheo ni dhamana tu
 
Huyu Ka phone si ndugu yetu katika Imani?
 
Natamani iwe hivyo. Wanapwaya sana.

Mwigulu hana kabisa ethics, sasa hivi anatowa hotuba huku anavuta makamasi yajonkooni, yanasikika kwenyebm tv. Hili jitu halina kabisa oersonality ya kuwa waziri.
Kumbe Dada Faiza umeiona lile tukio,Mimi mwenyewe nimeshangaa,kwani hawezi kuzima mic,dah![emoji1787][emoji1787]
 
Eti uchambuzi sasa umechambua nini hapa!!
 
Tunamuombea amalize salama, lakini nahisi anapwaya sana.

wewe kama sio Muongo na mbeya
Weka Vigezo vya Kupwaya!
Isije kuwa hisia tuu au anatofautiana mawazo na wengine nk nk!
Weka Vigezo nasi tupime kwa vigezo ulivyoweka,Pia Tuangalie Majukumu yake tutoe maoni!
Tofauti na Hapo ni Majungu!
 
wewe kama sio Muongo na mbeya
Weka Vigezo vya Kupwaya!
Isije kuwa hisia tuu au anatofautiana mawazo na wengine nk nk!
Weka Vigezo nasi tupime kwa vigezo ulivyoweka,Pia Tuangalie Majukumu yake tutoe maoni!
Tofauti na Hapo ni Majungu!
Nisome vizuri, kama hujaelewa ulichokisoma, sina muda wa kuendelea kukufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…