Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Tatizo lako ni kuchanganya CCM hawa wa leo na wale TANU wa 1961, na CCM ya wakati huo.
Naona hii historia imekupita pembeni.

Kwa mengine yote ninakubaliana na wewe, kasoro hicho kizungu ulichomalizia nacho.
 
Hili jambo nimelisikia mara kadhaa, ingawa mapendekezo ya kumfanya KoBite kuwa mbadala wake ndiyo sijamuelewa Mama.
 
Leo Kwa mara ya Kwanza katika Miaka yangu 12 JF nimefurahia uzi wako

PM Mfumo umemshinda anaona maruerue
 
ndio Mama
Zipo nyuzi mbili tstu nimefunguwa kuhusu DP World 👇🏾

 
Umemaliza Kila kitu Uzi huu ufungwe
 
Ni kweli ni mtu aliyepoteza furaha, amani na kujiamini ile sauti ya mamlaka aliyokuwa nayo Sasa imepotea, ni mtu ambaye kwa sasa hata wakati wa kuongea uso wake unaonyesha una kitu kisicho cha kawaida.
 
Ukweli mchungu🤔ogopa sana kupata boss weak na incompetent kukuliko,utajuta,utatamani kuacha kazi,mie ilinikuta sehemu nikaomba uhamisho wa hiari.
 
Tunamuombea amalize salama, lakini nahisi anapwaya sana.
Siyo yeye pekee aliyepwaya, bali Serikali nzima imepwaya sana.

Serikali makini unafikiri ingewezekana vipi kupeleka ule mkataba wa kishenzi bungeni? Maana kitu kama kile kinajadiliwa kwanza ndani ya management ya bandari. Kinajadiliwa kati ya management ya bandari na waziri na katibu mkuu, kisha kati ya waziri na Rais, mwishowe ndani ya baraza la mawaziri, ndiyo inapelekwa huko Bungeni.

Sasa huko kote unapita, hakuna anayeshtuka kuwa kilichosainiwa hakikidhi hata basic requirements za mkataba. Hapo si inamaanisha Serikali nzima ina matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…