Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Hakuna kitu kama hicho.

Labda haja recover kjtoka kifo cha rafiki yake toka ujana wao au ana mengine ambayo yanamfanya abadilike.

Lolote lile, kwa upande wangu namuona hayupo sawa.
Sema mshamfanya aishi kimashaka kama digidigi mana hata kuongea haongei siku hizi.
 
Tunamuombea amalize salama, lakini nahisi anapwaya sana.
Sio kwamba anapwaya bali mfumo wetu ndio mbovu waziri mkuu hana mahamuzi, mahazi mengi yako kwa Rais, nakaribia yote anayofanya yanakuwa ni maelekezo kwa ufupi hana tofauti sana na mawaziri wa kawaida.
 
Dead man walking, just a matter of time ☹️😟😢😥
 
Majaliwa anafaa sana kuongoza Taifa hili huyu mzee, ana u Jpm mwingi sana ndani ake
 
Tunamuombea amalize salama, lakini nahisi anapwaya sana.
Sidhani kama anapwaya ni neno la heshima kwa mtu ambaye alishaonyesha uwezo wake kabla. Namtakia kila la kheir, amalize nngwe salama.
 
Rais akiruhusu mijadala huru huwa anaitwa Dhaifu
 
Sidhani kama anapwaya ni neno la heshima kwa mtu ambaye alishaonyesha uwezo wake kabla. Namtakia kila la kheir, amalize nngwe salama.
Ni utawala (administration) aina tofauti.

Nipe neno mbadala la "anapwaya".
 
Na kweli amesanuka!

We Bibi kifimbo cheza una mambo SANA!!
 
Ila hata yeye anajua hili. Yuko tofauti sana na wapigaji wa utawala huu, lazima wanamlia timing tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…