Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
You + **** = Kupendwa tena kupendwa kweli

Hapo kwenye nyota maelezo yake ni haya [emoji116]

Nakuhakikishia, Ukianza kwa kujipenda na kujijali we mwenyewe zaidi basi hao unaowahitaji utawapata tena kwa urahisi zaidi. Na tena watakutengenezea mazingira mazuri ya kuwapata mwisho wa siku utarudi kutoa ushuhuda tena humu JF kwa jukwaa la kula tunda kimasihara.
 
Hiv tunaposema uanze kwa kujipenda mwenyew ni ni nin maan yke naomb ufafanuzi Zaid nijifunze
 
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
Tafuta fedha mademu wakali watakutafuta, wakishoboka chapa,piga chini then endelea kukimbizana na hela.

NB:Kwenye kuoa tafuta mwanamke anayejua nini maana ya maisha na mwenye akili ya maisha,ili muendeleze mikondo ya kuingiza hela.
 
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
Uzi huu bila picha yako na ya mfano wa mwanamke panga pangua aliye mbovu, utakuwa ni batili
 
Back
Top Bottom