Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Jibu hoja , akili huna usikatae ! Hapa hapahitaji shule yeyote ni uelewa tu wa kawaida wa kupambanua mambo Wewe ndo hujui cha kufanya au cha kuangalia huko Tiktok ndo maana unakutana na wajinga wenzio maji hufata mkondo tena unakuja huku kujiliza liza kwa wajinga wenzio JF kisa walishakupanga eti ni Great thinker kumbe nao akili hawanaUmeandika gazeti refu nikajua unajitambua kumbe ufahamu wako upo chini sana rudi shule haujachelewa
Mpuuzi tu , tatizo sijui nani anawadanganyaga watu kuwa ukijiunga Jamii Forum unakua na akili ππ Yaan mtu akisoma nyuzi mbili tatu anajikuta ana masters ya uchambuzi ,Kabisa , yeye anafuatilia hayo maujinga halafu analaumu appy yote
Yaan aliyewadanganya watu kwamba ukijiunga JF ndo aliyeleta tabu zote hizi ππ watu wanajikuta wachambuzi sana kaka !Asante sana asante kwa kukemea uswahili wa hili punga zee.... nashukuru sana watu kama hawa hata mitaani hukutisha watu tamaa kwa kufuatilia maisha watu
Sasa huo si upuuzi wa programu ni wa baba yako mzazi.Kufanya michezo ya kitoto , mfano ukimuona baba yako mzazi anafanya challenges za tik tok je utafurahi
Hamna hoja hapo. Futa hiyo app kabla miluzi haijaanza kusikikaZingatia somo la hoja acha mzaha
Kama mimi kuwa na mke mmoja mabraza wananishangaa.!Kila kitu ni generation...umri ukikutupa huwezi kushindana na muda ni ukuta
Hata ww Kuna mambo ya kawaida ulikuwa unafanya, generation ya juu yako iliona kama ni mambo ya ajabu sana.
Acheni ku-sexualize makalio,wakongo wakicheza muziki wao kwa kutikisa makalio mnawasifuYule bonge anae fanya challenge za ccm aibu naona mimi ase ππ mwanaume kuna challenge accepted ila sio kujitingisha makalio na khanga za ccm
Hivi umeona uchezaji wakeAcheni ku-sexualize makalio,wakongo wakicheza muziki wao kwa kutikisa makalio mnawasifu
Rejea ule usemi wa Great minds discuss...... nk.vp ww una account tik tok ?