Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkasa wa boss ilikuwa kipindi kile U DIDY haujashika kasi,sahivi ukikamatwa wadau unawapa sababu ya kukufanyia ufirauniHayo mambo yanazungumzika, kama hauamini muulize ferooz wa Mkasa wa Boss.
Mtego huo,Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Piga simu Kwa ndugu wawe karibu ili wakuveshe pampers ukishatatuliwa kama pazia la hekaluHali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Unataka pazia ganiPazia la hekalu tena
Huyo ni single maza braza acha kuhadaika.Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Niko nakupigia dua huku kila la kheriSawa sawa kaka