Sijui niite bahati au nini hii?

Sijui niite bahati au nini hii?

Hayo mambo yanazungumzika, kama hauamini muulize ferooz wa Mkasa wa Boss.
Mkasa wa boss ilikuwa kipindi kile U DIDY haujashika kasi,sahivi ukikamatwa wadau unawapa sababu ya kukufanyia ufirauni

#man mke wa mtu sio asee jamaa afanye mitikasi mingine hata hivyo mbona wasimbe wengi tu mtaani
 
Sawa
 
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Mtego huo,
Utapigwa mashine na faini juu, au utashushwa mshipa. Jichanganye.
Umekosa kabisa mwanamke single?!
 
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Piga simu Kwa ndugu wawe karibu ili wakuveshe pampers ukishatatuliwa kama pazia la hekalu
Pazia la hekalu tena
Unataka pazia gani
 
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Huyo ni single maza braza acha kuhadaika.
😅😅😅
 
Back
Top Bottom