kuna mfanyakazo mwenzangu alinunua hadi laptop 2 mbili baada ya kuona moja haitoshi kwa sababu ya huo upuuzi wa Forex, na imani yake ni siku moja kuwa tajiri mkubwa kutokana na shughuli za forex.SQ meter 513 kwa 5.5 mil Kibaha umepigwa rafiki yetu!
Usijilaumu Sana tayari ni kosa umeshafanya relax Kila binadamu anakosea kwa namna yake!
Mwenzako jana katapeliwa mil 5 insta kwa inshu za Forex!
Kupigwa ni sehemu ya maisha, na wewe mtafute mnyonge wako uumpige.Nimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
kama unatokea dar ni wa kulia kwahyo unavuka barabara na siyo porini kwasababu kumejengwa na kuna huduma zote na pembeni kuna kanisa la kkkt hivyo siyo poriniTafuta Jirani Na Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Nyerere
Angalau Hayo Maeneo Yamenoga
Sehemu Nyingine Bado Mapori Sana
unakokuona ndani ya mji nako kulianza kama nje ya mji.Lakini kule ni nje ya mji jamani
Ahsante rafikiAcha kuwaza mambo ya kupigwa, fikiria kama una capital iliyolala chini ambayo itakuja kukulipa interest nzuri siku zijazo.
Sina hati ndyo nipo kwenye process za hatiKachukulie mkopo bank
Huu Nao Ukweli Mtupu Hauna Longolongounakokuona ndani ya mji nako kulianza kama nje ya mji.
kuwa champion wa kuanzisha mji mpya
Kwahyo huko huwa mnanunua viwanja bei ganiHuu Nao Ukweli Mtupu Hauna Longolongo
kwanini haujatushirikisha lakini?Hadi nimecheka, niliifanyia matumizi mengine
Kachukulie mkopo bank
Bwashee mtajie na benki genuine asije kuchukua mkopo kwenye vibenki uchwara watamsaka mpaka akimbilie south africa alafu wazuru wamuue bureKachukulie mkopo bank
natafuta eneo la kuweza kujenga shule ya sekondari ya bweni maeneo ya Kongowe KibahaBei zimepanda sana maana Dar kumejaa watu sasa hivi wanakimbilia njia ya Kibaha na Bagamoyo
Mimi Kuna Mkoa Nilinunua Laki 4.5Kwahyo huko huwa mnanunua viwanja bei gani
hiyo siyo fedha ya kuwekeza bwashee.Hiyo. 12 m ungewekeza kwanza
Lazima ukaze roho! Wakati mwingine dunia inatufundisha kwa njia ngumu Sana!Duh aisee huku Duniani inabidi uwe na roho ngumu